9-KUWAPENDA AHLUL-BAYT (a.s.):

ina maana ya kuwapenda kizazi cha MTUME(s.a.s.) na kushikamana nao.

10-KUJITENGA NA WENYE KUWACHUKIA AHLUL-BAYT(a.s.):

ina maana ya kuwachukia na kujitenga na watu wenye kuwafanyia uadui kizazi cha MTUME(s.a.a.s.).